Timu ya mpira wa miguu Taifa Stars yatarajiwa kuingia kambini hapo tarehe 14June kujiandaa na michuano
inayosimamiwa na Baraza la soka la Kusini mwa Africa liitwalo(COSAFA)
![]() |
Timu ya TaifaStars. |
Michiano hiyo inatarajiwa kuanza June25 mwaka huu,huku Taifa stars ikitarajiwa kufika Afrika Kusini June20 pamoja na kocha wao Salum Mayanga akiwa na dhumuni la kufanya mabadiliko ya kufanya uteuzi mwingine kwa baadhi ya wachezaji na kutangaza majina ya wachezaji hao kesho ili wachezaji hao waweze kujiandaa ,na kuingia kambini ili wawe teyali
No comments:
Write comments