Mara baada ya John Bocco
kuondoka ndani ya kikosi cha Azam FC, klabu hiyo imefanikiwa kunasa
saini ya straika mpya Mbaraka Yusuph aliyekuwa
Mbaraka Yusuph ni straika chipukizi aliyetamba msimu uliopita wa 2016/17 ndani ya kikosi cha Kagera Sugar katika Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ambapo amesaini mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo.
Ujio wa Mbaraka klabuni hapo utarejesha matumaini ya kuimarisha safu
ya ushambuliaji ambapo katika miaka ya hivi karibuni Azam FC iliwapoteza
mastraika waliokuwa na makali, Kipre Tchetche na John Bocco, hivyo
Mbaraka kwa kushirikiana na Waziri Jr aliyetua klabuni hapo hivi
karibuni akitokea Toto African ambayo imeshuka daraja wanatarajiwa
kutengeneza ushirikiano katika msimu ujao wa 2017/1akiitumikia klabu ya
Kagera Suga
Mbaraka Yusuph ni straika chipukizi aliyetamba msimu uliopita wa 2016/17 ndani ya kikosi cha Kagera Sugar katika Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ambapo amesaini mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo.
![]() |
Mbaraka akiweka saini ya kujiunga na Azam FC |
No comments:
Write comments