Msanii Diamond Platnumz pamoja na mama yake mzazi Bi Sandra wamefanikiwa
kuhudhuria katika msiba wa mama yake Zari The Bosslady nchini Uganda.
Bosi huyo wa WCB amewasili jana katika msiba huo ambao kwa mujibu wa
taarifa aliyoitoa Zari kupitia mtandao wa Instagram, marehemu alifariki
asubuhi ya siku ya jana (Alhamisi). Babu Tale naye ameambatana na
Diamond katika msiba huo.
Friday, July 21, 2017
Picha: Diamond na mama yake walivyowasili kwenye msiba wa mama yake Zari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments