Saturday, July 1, 2017

Lionel Messi alivyouaga ukapera!

Nyota wa timu ya Barcelona, Lionel Messi amefunga ndoa ya kifahari na mpenzi wake wa utotoni Antonella Roccuzzo ambaye pia ni mzazi mwenzake wa watoto wawili.


Ndoa hiyo imefungwa huko Rosario City nchini Argentina usiku wa kuamkia leo huku ikuhudhuriwa na mastaa kibao wa soka kama kina Xavi, Carles Puyol, Cesc Fabregas, Samuel Eto'o, Luis Suarez, Jordi Alba na Sergio Busquets.
Wanasoka wengine walioudhuria harusi hiyo ni  Sergio Agüero, Ezequel Lavezzi, Javier Mascherano na Angel Di Maria.

    Choose :
  • OR
  • To comment
No comments:
Write comments