Mafahari hao wawili wamekuwa katika beef ya maneno tangu mwezi Disemba
mwaka jana, baada ya Remy kuanza kumchana Nicki katika wimbo wake wa
‘SHETHER’ lakini alijibiwa na mrembo huyo wa Young Money alijibu mapigo
kupitia nyimbo mbili alizoziachia mwezi Februari mwaka huu
Mwezi Machi mwaka huu Remy alipohojiwa kwenye kipindi cha Another Round, alionekana kulimaliza bifu lake na Minaj huku akiwachana waliokuwa wakishangilia vita yao hiyo, je kwa kuchanwa tena kwenye wimbo huo ataendelea kubaki kimya au Nicki ndio kachkoza nyuki?
No comments:
Write comments