Friday, June 9, 2017

Balozi wa China aipongeza bajeti ya Wizara ya Fedha

 Barozi wa china hapa nchini mhe.Dkt. lu younqing ampongeza raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
 Mhe. Dkt. John Pombe magufuli na serikali yake kwa bajet yake nzuri iliyowasilishwa jana tarehe 8,june
mwaka huu hapo bungeni jijini dodoma na waziri wa fedha na mipango Dk. Phillip Mpango


Mhe. Dkt .Lu youqing ametoa pongezi hizo leo tarehe 9,june mwaka huu ikulu jijini dar es salaam muda mfupi tu baadi  ya kufanya mazungumzo na Mhe. Raisi magufuli ambapo amesema  kuwa bajeti  iliyowasilishwa inamalengo ya kuongeza kasi ya maendeleo katika ujenzi wa miundombinu na ujenzi wa
viwanda.

Akiongeza kua kutokana na bajeti hiyo uchumi wa tanzania umeendelea kua imara na hivo umeweza kuwavutia wadau wengi wa maendeleo wakiwemo Benk ya Dunia (WB) na shirika la Fedha Duniani
(IMF) ambao wamekua wakishirikiana  na Tanzania  katika utekelezaji  wa miradi mikubwa ya maendeleo yenye umuhimu mkubwa.

    Choose :
  • OR
  • To comment
No comments:
Write comments